Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Matendo 21-28 Matendo 21-28


Download 537 b.
bet8/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
1   2   3   4   5   6   7   8   9

Matendo 21-28

 • Matendo 21-28

 • 31 Walipokuwa wakitaka kumwua, habari zikamfikia jemadari wa jeshi la askari wa Kirumi kwamba mji wa Yerusalemu wote ulikuwa katika machafuko.Matendo 21-28

 • Matendo 21-28

 • 32 Mara yule jemadari akachukua maafisa wengine wa jeshi pamoja na maaskari wakakimbilia kwenye

 • ile ghasia …Matendo 21-28

 • Matendo 21-28

 • 32 … wale watu waliokuwa wakifanya ghasia walipomwona yule jemadari na askari wakija, wakaacha kumpiga Paulo.Matendo 21:30-32

 • Matendo 21:30-32

 • Ulinzi wa Mungu (Baraka za Mungu) hazikuwepo juu yake, kwasababu Mtume Paolo alitoka nje ya wito wake.Matendo 21:30-32

 • Matendo 21:30-32

 • Wayahudi wakampiga Paulo kwa mawe, nusu ya kumuua, ndipo kwa rehema zake, Mungu, akaamua kumrudisha Paulo katika mwili wake, ila aende Rumi, kwa Wamataifa.Matendo 21-28

 • Matendo 21-28

 • 22:17 “Baada ya kurudi Yerusalemu, wakati nikiwa ninaomba hekaluni, nilipatwa na usingizi mzitoMatendo 21-28

 • Matendo 21-28

 • 22:18 nikamwona Yesu akiniambia, ‘Harakisha utoke Yerusalemu upesi, maana hawataukubali ushuhuda wako kunihusu mimi.’ (kwasababu Wito wako si kwa Wayahudi)Matendo 23-26

 • Matendo 23-26

 • Paulo anahudhuria mahakama;

 • Baraza/Wazee – Jerusalem

 • Liwali Felix – Kaisaria

 • Gavana Festo – Kaisaria

 • Mfalme Agripa - KaisariaMatendo 23-26

 • Matendo 23-26

 • Kesi za Paulo hazikupata suluhu; hatimaye wakaamua kesi yake ikasikilizwe Rumi (kwa Wamataifa) na sio Jerusalem (kwa Wayahudi).Matendo 27-28

 • Matendo 27-28

 • Paulo anasafirishwa mpaka Rumi kwa pingu, chini ya ulinzi mkali wa binadamu na malaika, kwenda kutimiza wito wake!

 • Na huko ndipo alipotimiza na kumalizia wito wake.Wagalatia 2:8

 • Wagalatia 2:8

 • Aliyemwezesha Petro kuwa mhubiri wa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha mimi kuwa mhubiri wa Mataifa.

 • 5.

 • Muda wa Wito5. Kipimo cha muda

 • 5. Kipimo cha muda

 • 2Timotheo 4:5-8

 • “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”5. Kipimo cha muda

 • 5. Kipimo cha muda

 • Wafilipi 3:13-14

 • “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”5. Kipimo cha muda

 • 5. Kipimo cha muda

 • Yohana 16:12-13

 • “…bado nina mambo mengi sana ya kuwaambia, lakini kwa sasa, hamyawezi bado; wakati utafika, Roho atakuja na kuyaachilia kwenu…”5. Kipimo cha muda

 • 5. Kipimo cha muda

 • Waebrania 5:11-15

 • “nashangaa kwamba bado mnahitaji maziwa badala ya makande, kwasababu wakati mwingi umepita, tangu mlipoamini…!5. Kipimo cha muda

 • 5. Kipimo cha muda

 • Waebrania 5:11-15

 • “saa hii mlitakiwa kuwa waalimu wa watu wengine, lakini bado ni watoto, mnaotakiwa kulishwa maziwa wala sio makande…”5. Muda wa Wito

 • 5. Muda wa Wito

 • Wagalatia 4:1-2

 • “japo mrithi ndiye Bwana wa yote, lakini awapo mtoto, mali zake hawezi pewa, bali zitabaki chini ya waangalizi, mpaka wakati sahihi utakapofika”

Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9
Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2020
ma'muriyatiga murojaat qiling