Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Muda wa Wito 5. Muda wa Wito


Download 537 b.
bet9/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
1   2   3   4   5   6   7   8   9

5. Muda wa Wito

 • 5. Muda wa Wito

 • Wagalatia 4:1-2

 • Kuna baadhi ya vitu vyako, hautaviona vinakutokea, mpaka utakapokua na kufika kiwango fulani cha ukomavu (maturity)

 • 6.

 • Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • (Measure/Length)

 • (Standard/Quality)6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Katika Idadi (Quantity)

 • Mathayo 25:14-30

Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu (Bwana) anayetaka kusafiri, akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 15 Mmoja akampa talanta tano (5) mwingine talanta mbili (2) na mwingine talanta moja (1), kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri kwenda mbali.Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 20 Yule mtumishi aliyepokea talanta 5 akaja, akaleta nyingine 5 zaidi. Akasema, ‘Bwana uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 5. Tazama, nimepata faida talanta 5 zaidi.’Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 21 “Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu …!Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 21 “… Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache, nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!”Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 22 “Yule mwenye talanta 2, naye akaja. Akasema, `Bwana, uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 2. Tazama nimepata hapa faida ya talanta mbili (2) zaidi.’Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu, na wewe nakulipa kama mwenzako wa kwanza kwa kutimiza kusudi la wito wenu kwa kipimo chake.Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 24 “Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta 1 akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unayevuna mahali usipopanda na kukusanya mahali usipotawanya.Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 25 Kwa hiyo niliogopa, nikaenda, nikaificha talanta yako ardhini. Tazama, hii hapa ile iliyo mali yako.’Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 26 Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua yote hayo lakini hukufanya ulichotakiwa kufanya (wewe ni mpumbavu).Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 27 Basi, ilikupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake?Mathayo 25:14-30

 • Mathayo 25:14-30

 • 30 “Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Luka 12:48

 • “… aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi …”6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 1Wakorintho 3:13

 • “… Kazi ya kila mtu itapiwa, tena kwa moto wa Mungu …”6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Wafilipi 3:13-14

 • “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 2Timotheo 4:5-8

 • “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 2Timotheo 4:5-8

 • Kwa Mtume Paulo kusema kwamba, “mwendo nimeumaliza,” ni hakika ya kwamba, alikuwa anajua kiasi cha umbali alichotakiwa kutimiza katika wito wake.

6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Luka 12:48

 • 12 Nilipokuwa pamoja nao, niliwalinda, wakawa salama kwa lile Jina ulilonipa. Hakuna hata mmoja aliyepotea, isipokuwa yule aliyekusudiwa, ili Maandiko yapate kutimia.6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Yohana 19:30

 • 30 Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.’’ Akainamisha kichwa chake, akakata roho.6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Yohana 19:30

 • 30 Bwana Yesu alikuwa na ujasiri wa kumwambia Mungu kwamba ‘Kazi uliyonituma “Imekwisha.’’ kwasababu alijua kwa hakika kipimo cha kazi alichopewa.6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Yohana 5:30

 • 30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote peke Yangu … kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi Yangu mwenyewe, bali mapenzi Yake Yeye aliyenituma.’’

6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

 • Katika Kiwango (Quality)

 • 2Wakorintho 3:10-151Wakorintho 3:10-15

 • 1Wakorintho 3:10-15

 • 10 Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakini kila mtu inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.1Wakorintho 3:10-15

 • 1Wakorintho 3:10-15

 • 12 Kama mtu ye yote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, au kwa fedha, au kwa mawe ya thamani, au kwa miti, au kwa majani au kwa nyasi …1Wakorintho 3:10-15

 • 1Wakorintho 3:10-15

 • 13 kazi yake itaonekana kuwa ikoje, kwa kuwa siku ile itaidhihirisha kazi yake. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu. • 7.

 • Ngazi ya Wito

 • (Level)

Kujaa Nguvu za Mungu

 • Kujaa Nguvu za Mungu

 • Kiwango, Kipimo, Ujazo

Kutoka 24:1-18

 • Kutoka 24:1-18

 • ^ 1st Class

 • ^^^ 2nd Class

 • ^^^^^^^^^^ 3rd Class1 (Yoh 21:19-24)

  • 1 (Yoh 21:19-24)
  • 3 (Math 17:1-9)
  • 12 (Luka 6:12-15)
  • 70 (Luka 10:1,17)
  • 120 (Mdo 1:15)
  • 500 (1Kor 15:3-8)


7. Ngazi (Level) ya Wito

 • 7. Ngazi (Level) ya Wito

 • Kutoka 24:1-18

 • Luka 6:12/10:1-2,17-20

 • Matendo 5:12-13

 • Matendo 15:1-22

 • Wagalatia 1:18-19/2:11-12Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.

 • Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.

Mungu

 • Mungu

 • Ibada Nchi

 • Adam

Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

 • Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

 • Azania Front Cathedral

 • Luther House, Sokoine Drive

 • Dar es Salaam.Mwl. Mgisa Mtebe

 • Mwl. Mgisa Mtebe

 • (Christ Rabbon Ministry)

 • P. O. Box 837,

 • Dar es Salaam, Tanzania.

 • +255 713 497 654

 • +255 783 497 654

 • mgisamtebe@yahoo.com
Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9
Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2020
ma'muriyatiga murojaat qiling