Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Matendo 21-28 Matendo 21-28


Download 537 b.
bet8/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 31 Walipokuwa wakitaka kumwua, habari zikamfikia jemadari wa jeshi la askari wa Kirumi kwamba mji wa Yerusalemu wote ulikuwa katika machafuko.



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 32 Mara yule jemadari akachukua maafisa wengine wa jeshi pamoja na maaskari wakakimbilia kwenye

  • ile ghasia …



Matendo 21-28



Matendo 21:30-32

  • Matendo 21:30-32

  • Ulinzi wa Mungu (Baraka za Mungu) hazikuwepo juu yake, kwasababu Mtume Paolo alitoka nje ya wito wake.



Matendo 21:30-32

  • Matendo 21:30-32

  • Wayahudi wakampiga Paulo kwa mawe, nusu ya kumuua, ndipo kwa rehema zake, Mungu, akaamua kumrudisha Paulo katika mwili wake, ila aende Rumi, kwa Wamataifa.



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 22:17 “Baada ya kurudi Yerusalemu, wakati nikiwa ninaomba hekaluni, nilipatwa na usingizi mzito



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 22:18 nikamwona Yesu akiniambia, ‘Harakisha utoke Yerusalemu upesi, maana hawataukubali ushuhuda wako kunihusu mimi.’ (kwasababu Wito wako si kwa Wayahudi)



Matendo 23-26

  • Matendo 23-26

  • Paulo anahudhuria mahakama;

  • Baraza/Wazee – Jerusalem

  • Liwali Felix – Kaisaria

  • Gavana Festo – Kaisaria

  • Mfalme Agripa - Kaisaria



Matendo 23-26

  • Matendo 23-26

  • Kesi za Paulo hazikupata suluhu; hatimaye wakaamua kesi yake ikasikilizwe Rumi (kwa Wamataifa) na sio Jerusalem (kwa Wayahudi).



Matendo 27-28

  • Matendo 27-28

  • Paulo anasafirishwa mpaka Rumi kwa pingu, chini ya ulinzi mkali wa binadamu na malaika, kwenda kutimiza wito wake!

  • Na huko ndipo alipotimiza na kumalizia wito wake.



Wagalatia 2:8

  • Wagalatia 2:8

  • Aliyemwezesha Petro kuwa mhubiri wa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha mimi kuwa mhubiri wa Mataifa.





  • 5.

  • Muda wa Wito











5. Kipimo cha muda

  • 5. Kipimo cha muda

  • 2Timotheo 4:5-8

  • “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”



5. Kipimo cha muda

  • 5. Kipimo cha muda

  • Wafilipi 3:13-14

  • “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”



5. Kipimo cha muda

  • 5. Kipimo cha muda

  • Yohana 16:12-13

  • “…bado nina mambo mengi sana ya kuwaambia, lakini kwa sasa, hamyawezi bado; wakati utafika, Roho atakuja na kuyaachilia kwenu…”



5. Kipimo cha muda

  • 5. Kipimo cha muda

  • Waebrania 5:11-15

  • “nashangaa kwamba bado mnahitaji maziwa badala ya makande, kwasababu wakati mwingi umepita, tangu mlipoamini…!



5. Kipimo cha muda

  • 5. Kipimo cha muda

  • Waebrania 5:11-15

  • “saa hii mlitakiwa kuwa waalimu wa watu wengine, lakini bado ni watoto, mnaotakiwa kulishwa maziwa wala sio makande…”



5. Muda wa Wito

  • 5. Muda wa Wito

  • Wagalatia 4:1-2

  • “japo mrithi ndiye Bwana wa yote, lakini awapo mtoto, mali zake hawezi pewa, bali zitabaki chini ya waangalizi, mpaka wakati sahihi utakapofika”




Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling