Kanisa la Mungu ni Ofisi ya Mungu na Ubalozi wa Mbinguni duniani. Hivyo Mungu anataka Kanisa lake (Ofisi yake) iwe na watendakazi walio bora zaidi na itoe huduma bora zaidi kuliko taasisi zingine za duniani.
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 10 Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakini kila mtu inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 12 Kama mtu ye yote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, au kwa fedha, au kwa mawe ya thamani, au kwa miti, au kwa majani au kwa nyasi …
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 13 kazi yake itaonekana kuwa ikoje, kwa kuwa siku ile itaidhihirisha kazi yake. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu (Bwana) anayetaka kusafiri, akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 15 Mmoja akampa talanta tano (5) mwingine talanta mbili (2) na mwingine talanta moja (1), kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri kwenda mbali.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 20 Yule mtumishi aliyepokea talanta 5 akaja, akaleta nyingine 5 zaidi. Akasema, ‘Bwana uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 5. Tazama, nimepata faida talanta 5 zaidi.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 21 “Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu …!
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 21 “… Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache, nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!”
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 22 “Yule mwenye talanta 2, naye akaja. Akasema, `Bwana, uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 2. Tazama nimepata hapa faida ya talanta mbili (2) zaidi.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 “Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu, na wewe nakulipa kama mwenzako wa kwanza kwa kutimiza kusudi la wito wenu kwa kipimo chake.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 24 “Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta 1 akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unayevuna mahali usipopanda na kukusanya mahali usipotawanya.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 25 Kwa hiyo niliogopa, nikaenda, nikaificha talanta yako ardhini. Tazama, hii hapa ile iliyo mali yako.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 26 Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua yote hayo lakini hukufanya ulichotakiwa kufanya (wewe ni mpumbavu).
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 27 Basi, ilikupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake?
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 30 “Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’
Kipimo (Kiasi) cha Kazi Luka 12:48 “… aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi …”
Kipimo (Kiasi) cha Kazi
Do'stlaringiz bilan baham:
|