Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Download 537 b.
bet4/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

ya moyoni (Peace n’ Joy)

  • Isaya 55:12, Filipi 4:4-7,

  • Kolosai 3:15



    • 2.

    • Kupenda na Kuridhika (Passion)

    • Kut 33:12-14, Math 17:1-7

    • Zab 37:4, Zab 16:11,



    • 3.

    • Bajeti ya Muda zaidi

    • Kut 33:7-11, Math 14:22-23,

    • Mark 1:35, Yoh 8:1



    • 4.

    • Uwezo mkubwa wa

    • Kazi hiyo (Ability)

    • Kutoka 33:1-5,

    • Matendo 6:7-10.



    • 5.

    • Matokeo Mazuri

    • Yohana 5:31-36,

    • Marko 16:15-20.



    • 6.

    • Baraka na Mafanikio

    • Zaburi 1:1-3, Mithali 10:22

    • Mith 17:8, Mith 18:16



    • 7.

    • Ushuhuda mzuri wa

    • Watu wengine

    • Math 18:16, Yoh 6:11-14

    • Yoh 3:1-2, Mdo 6:1-8.



    Amani na Furaha ya moyoni

    • Amani na Furaha ya moyoni

    • Kupenda na Kuridhika

    • Kutumia Muda Zaidi

    • Uwezo mkubwa ktk hilo

    • Matokeo Mazuri

    • Baraka na Mafanikio

    • Ushuhuda mzuri wa wengine





    Mwombe Mungu (Omba)

    • Mwombe Mungu (Omba)

    • Fanya Maombi ya Muda mrefu

    • Yeremia 29:11-13

    • Isaya 43:26

    • Wafilipi 4:6-7

    • Zaburi 32:8



    Tumika katika Kazi ya Mungu bila mipaka.



    Sikiliza Sauti ya Mungu (Uongozi wa Mungu) na Uangalie Uwezo Binafsi ulionao (Neema).

    • Sikiliza Sauti ya Mungu (Uongozi wa Mungu) na Uangalie Uwezo Binafsi ulionao (Neema).

    • Chunguza Eneo unalotumika vizuri zaidi kuliko mengine.

    • Matendo 6:8



    Uwezo Binafsi (Neema).

    • Uwezo Binafsi (Neema).

    • Chunguza eneo unalotumika vizuri zaidi kuliko mengine (matokeo mazuri zaidi).

    • Matendo 6:8

    • ‘Filipo akijaa Neema na Nguvu, alifanya maajabu na ishara kubwa kati ya watu’



    4. Mwombe Mungu Tena akupe Uthibitisho.

    • 4. Mwombe Mungu Tena akupe Uthibitisho.

    • (Comfirmation)

    • Fanya Maombi ya Muda mrefu

    • Luka 4:1-14,18-19

    • Luka 6:12-19



    5. Sikiliza ushauri (Uliza)

    • 5. Sikiliza ushauri (Uliza)

    • Sikiliza ushauri kutoka kwa watendakazi na walezi wako wa kiroho au kihuduma.



    Mambo Muhimu

    • Mambo Muhimu

    • Ya Kuombea.

    • Vipimo vya Aina ya

    • Wito wa mtu.

    • (Specificacations)



    1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake

    • 1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake

    • (huduma/karama)

    • 2. Wito wa mtu (Huduma na Karama yake) ni maalumu sana (Very Specific)



    Kusudi la Wito

    1   2   3   4   5   6   7   8   9




    Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
    ma'muriyatiga murojaat qiling