Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Download 537 b.
bet7/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Matendo 10:38

  • ‘Naye Mungu alimpaka Yesu Kristo mafuta, kwa Roho Mtakatifu na Nguvu, naye akawafungua wote walioonewa na ibilisi shetani ’















  • 4.

  • Eneo la Wito

  • (Location + Group)





1Timotheo 2:7

  • 1Timotheo 2:7

  • Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe Mhubiri na Mtume na Mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli.



Wagalatia 2:8

  • Wagalatia 2:8

  • Aliyemwezesha Petro kuwa mhubiri wa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha mimi kuwa mhubiri wa Mataifa.



4. Eneo la Wito

  • 4. Eneo la Wito

  • Matendo 16:6-12

  • 7 Walipofika kwenye mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.



4. Eneo la Wito

  • 4. Eneo la Wito

  • Matendo 16:6-12

  • 8 Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa. 9 Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi akisema,



4. Eneo la Wito

  • 4. Eneo la Wito

  • Matendo 16:6-12

  • 9 … “Vuka uje huku Makedonia ukatusaidie.” 10 Baada ya Paulo kuona maono haya, mara tulijiandaa kuondoka kwenda Makedonia…



4. Eneo la Wito

  • 4. Eneo la Wito

  • Matendo 16:6-12

  • 10 … tukiwa tumesadiki kwa sababu tuliona kwa hakika kwamba Mungu ametuita kuhubiri habari njema huko.



4. Eneo la Wito



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 21:4 Baada ya kuwatafuta wanafunzi wa huko, tukakaa nao kwa siku saba. Wale wanafunzi wakiongozwa na Roho walimwambia Mtume Paulo asiende Yerusalemu.



Matendo 21-28



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 11 Alipotufikia akachukua mshipi wa Paulo akajifunga, akautumia kufunga mikono na miguu yake mwenyewe akasema, “Roho Mtakatifu anasema:



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 11 … ‘Hivi ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mwenye mshipi huu na kumkabidhi kwa watu Mataifa.’



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 12 Tuliposika maneno haya sisi na ndugu wengine tukamsihi Paulo asiende Yerusalemu.



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 13 Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.”



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 14 Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 14 Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”



Matendo 21:17-26

  • Matendo 21:17-26

  • Askofu Yakobo alijaribu kumtengenezea Paulo mazingira ya kukubalika kwa Wayahudi, (kwa kufanya ibada kwa sheria za Torati ya Musa) lakini bado haikusaidia; walimkataa.



Matendo 21-28

  • Matendo 21-28

  • 30 Mji wote ukataharuki, watu wakaja wakikimbia kutoka pande zote wakamkamata Paulo, wakamburuta kutoka mle hekaluni. Milango ya hekalu ikafungwa.




Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling