Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Muda wa Wito 5. Muda wa Wito


Download 537 b.
bet9/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

5. Muda wa Wito

  • 5. Muda wa Wito

  • Wagalatia 4:1-2

  • Kuna baadhi ya vitu vyako, hautaviona vinakutokea, mpaka utakapokua na kufika kiwango fulani cha ukomavu (maturity)





  • 6.

  • Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • (Measure/Length)

  • (Standard/Quality)



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Katika Idadi (Quantity)

  • Mathayo 25:14-30





Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu (Bwana) anayetaka kusafiri, akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 15 Mmoja akampa talanta tano (5) mwingine talanta mbili (2) na mwingine talanta moja (1), kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri kwenda mbali.



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 20 Yule mtumishi aliyepokea talanta 5 akaja, akaleta nyingine 5 zaidi. Akasema, ‘Bwana uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 5. Tazama, nimepata faida talanta 5 zaidi.’



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 21 “Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu …!



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 21 “… Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache, nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!”



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 22 “Yule mwenye talanta 2, naye akaja. Akasema, `Bwana, uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 2. Tazama nimepata hapa faida ya talanta mbili (2) zaidi.’



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • “Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu, na wewe nakulipa kama mwenzako wa kwanza kwa kutimiza kusudi la wito wenu kwa kipimo chake.



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 24 “Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta 1 akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unayevuna mahali usipopanda na kukusanya mahali usipotawanya.



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 25 Kwa hiyo niliogopa, nikaenda, nikaificha talanta yako ardhini. Tazama, hii hapa ile iliyo mali yako.’



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 26 Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua yote hayo lakini hukufanya ulichotakiwa kufanya (wewe ni mpumbavu).



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 27 Basi, ilikupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake?



Mathayo 25:14-30

  • Mathayo 25:14-30

  • 30 “Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Luka 12:48

  • “… aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi …”



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 1Wakorintho 3:13

  • “… Kazi ya kila mtu itapiwa, tena kwa moto wa Mungu …”



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Wafilipi 3:13-14

  • “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 2Timotheo 4:5-8

  • “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 2Timotheo 4:5-8

  • Kwa Mtume Paulo kusema kwamba, “mwendo nimeumaliza,” ni hakika ya kwamba, alikuwa anajua kiasi cha umbali alichotakiwa kutimiza katika wito wake.





6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Luka 12:48

  • 12 Nilipokuwa pamoja nao, niliwalinda, wakawa salama kwa lile Jina ulilonipa. Hakuna hata mmoja aliyepotea, isipokuwa yule aliyekusudiwa, ili Maandiko yapate kutimia.



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Yohana 19:30

  • 30 Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.’’ Akainamisha kichwa chake, akakata roho.



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Yohana 19:30

  • 30 Bwana Yesu alikuwa na ujasiri wa kumwambia Mungu kwamba ‘Kazi uliyonituma “Imekwisha.’’ kwasababu alijua kwa hakika kipimo cha kazi alichopewa.



6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Yohana 5:30

  • 30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote peke Yangu … kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi Yangu mwenyewe, bali mapenzi Yake Yeye aliyenituma.’’





6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • Katika Kiwango (Quality)

  • 2Wakorintho 3:10-15



1Wakorintho 3:10-15

  • 1Wakorintho 3:10-15

  • 10 Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakini kila mtu inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.



1Wakorintho 3:10-15

  • 1Wakorintho 3:10-15

  • 12 Kama mtu ye yote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, au kwa fedha, au kwa mawe ya thamani, au kwa miti, au kwa majani au kwa nyasi …



1Wakorintho 3:10-15

  • 1Wakorintho 3:10-15

  • 13 kazi yake itaonekana kuwa ikoje, kwa kuwa siku ile itaidhihirisha kazi yake. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.







  • 7.

  • Ngazi ya Wito

  • (Level)









Kujaa Nguvu za Mungu

  • Kujaa Nguvu za Mungu

  • Kiwango, Kipimo, Ujazo









Kutoka 24:1-18

  • Kutoka 24:1-18

  • ^ 1st Class

  • ^^^ 2nd Class

  • ^^^^^^^^^^ 3rd Class







1 (Yoh 21:19-24)

    • 1 (Yoh 21:19-24)
    • 3 (Math 17:1-9)
    • 12 (Luka 6:12-15)
    • 70 (Luka 10:1,17)
    • 120 (Mdo 1:15)
    • 500 (1Kor 15:3-8)






7. Ngazi (Level) ya Wito

  • 7. Ngazi (Level) ya Wito

  • Kutoka 24:1-18

  • Luka 6:12/10:1-2,17-20

  • Matendo 5:12-13

  • Matendo 15:1-22

  • Wagalatia 1:18-19/2:11-12



Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.

  • Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.









Mungu

  • Mungu

  • Ibada Nchi

  • Adam

























































































































































































Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

  • Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la

  • Azania Front Cathedral

  • Luther House, Sokoine Drive

  • Dar es Salaam.



Mwl. Mgisa Mtebe

  • Mwl. Mgisa Mtebe

  • (Christ Rabbon Ministry)

  • P. O. Box 837,

  • Dar es Salaam, Tanzania.

  • +255 713 497 654

  • +255 783 497 654

  • mgisamtebe@yahoo.com



Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling