Uwezo na Nguvu (Matokeo) Eneo la Wito Kipimo au Kiasi cha Wito Muda wa Wito
1. Kusudi la Wito
1. Kusudi la Wito 1. Kusudi la Wito Kusudi Kuu la Mungu duniani lina sura Kuu Nne (4).
Sura Nne za Kusudi la Mungu. Kumiliki na Kutawala Dunia Kumsifu + Kumwabudu Mungu Kufanikiwa na Kuongezeka Kuwarudisha na kuwatafuta walio nje Mungu Walio Nje.
1. Kusudi la Wito 1. Kusudi la Wito Kila kiungo katika Kanisa (Mwili wa Kristo ) Kinafanya kazi duniani ili kutimiza Kusudi moja Kuu la Mungu, la Kuujunga Ufalme wa Mungu duniani.
1. Kusudi la Wito 1. Kusudi la Wito Matendo 26:12-18 Yohana 4:23-24 Mwanzo 1:26-28 Marko 16:15-20
2. Mpango wa Wito 2. Mpango wa Wito Kila kiungo katika Kanisa (Mwili wa Kristo ) Kimetengenezewa na Mungu, Mpango wake maalum wa kulitimiza Kusudi Kuu la Mungu duniani.
2. Mpango wa Wito 2. Mpango wa Wito Mpango wake maalum wa kulitimiza Kusudi Kuu la Mungu duniani, ni Mungu kuweka Huduma na Karama mbalimbali katika Waumini wa Kanisa lake (Viungo vya Mwili wa Kristo).
2. Mpango wa Wito 2. Mpango wa Wito Mpango wake maalum wa kulitimiza Kusudi Kuu la Mungu duniani, ni Mungu kuweka Huduma na Karama mbalimbali katika Waumini wa Kanisa lake (Viungo vya Mwili wa Kristo).
1 Wakorintho 12:14-27 1 Wakorintho 12:14-27 14 Basi mwili si kiungo kimoja, bali ni viungo vingi. 15 Kama mguu ungesema, “Kwa kuwa mimi si mkono basi mimi si wa mwili,” hiyo isingefanya huo mguu usiwe sehemu ya mwili.
1 Wakorintho 12:14-27 1 Wakorintho 12:14-27 16 Na kama sikio lingesema, “Kwa kuwa mimi si jicho, basi mimi si la mwili,” hiyo isingefanya hilo sikio lisiwe sehemu ya mwili.
1 Wakorintho 12:14-27 1 Wakorintho 12:14-27 17 Kama mwili wote ungelikuwa jicho, kusikia kungekuwa wapi? Au kama mwili wote ungelikuwa sikio, kunusa kungekuwa wapi?
1 Wakorintho 12:14-27 1 Wakorintho 12:14-27 18 Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda. 19 Kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
1 Wakorintho 12:14-27 1 Wakorintho 12:14-27 20 Kama ulivyo, kuna viungo vingi, lakini mwili ni mmoja. 21 Jicho haliwezi kuuambia mkono, “Sina haja nawe!” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, “Sina haja na ninyi!”
1 Wakorintho 12:14-27
Do'stlaringiz bilan baham: |