Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Download 537 b.
bet3/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

Kipimo (Kiasi) cha Kazi

  • 1Wakorintho 3:13

  • “… Kazi ya kila mtu itapiwa, tena kwa moto wa Mungu …”



  • Mathayo 25:14-30

    • Mathayo 25:14-30

    • Mtumishi huyu wa Mungu hakuwa mwizi au mzinzi au mchawi, lakini alitupwa nje ya Ufalme wa Mungu kwasababu hakuzalisha faida katika kazi ya Ufalme wa Mungu …



    Mathayo 25:14-30

    • Mathayo 25:14-30

    • Udhaifu huo ulisababisha kupunguza uwezo wa kazi ya Mungu ya kutawala dunia.

    • Kwa Mfano;

    • Injili, Elimu, Afya, Udiakonia, Ukarimu, Utaalamu, Ujuzi, n.k.



    Kanisa la Mungu ni Ofisi ya Mungu na Ubalozi wa Mbinguni duniani. Hivyo Mungu anataka Kanisa lake (Ofisi yake) iwe na watendakazi walio bora zaidi na itoe huduma bora zaidi kuliko taasisi zingine za duniani.

    • Kanisa la Mungu ni Ofisi ya Mungu na Ubalozi wa Mbinguni duniani. Hivyo Mungu anataka Kanisa lake (Ofisi yake) iwe na watendakazi walio bora zaidi na itoe huduma bora zaidi kuliko taasisi zingine za duniani.



    Mathayo 25:14-30

    • Mathayo 25:14-30

    • Mungu hawezi kuivumilia jambo lolote linalozuia kazi ya Ufalme wake duniani; ni lazima atalishughulikia kwa nguvu ili kurekebisha kikwazo hicho na kutoa fundisho kwa wengine.



    • Kusudi la Somo;

    • Kuwaanda Waaumini

    • Kutoa Kumtumikia Mungu katika ufanisi na ubora.































    Amos 4:12

    • Amos 4:12

    • 12 “Kwa hiyo hili ndilo nitakalowafanyia Israeli na kwa sababu nitawafanyia hili, jiandaeni kukutana na Mungu wenu, Ee Israeli.’’



    Mungu

    • Mungu

    • Ibada Nchi

    • Adam



    Kila Mtu katika jamii ya watu wa Mungu ana Karama na Kipawa fulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezesha kutenda kazi duniani ili kulitimiza kusudi la Mungu.

    • Kila Mtu katika jamii ya watu wa Mungu ana Karama na Kipawa fulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezesha kutenda kazi duniani ili kulitimiza kusudi la Mungu.



    Kipawa hicho, ndicho kinachotenda kazi ili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimiza kusudi la Mungu, yaani kuwa ‘chombo kizuri cha ibada’.

    • Kipawa hicho, ndicho kinachotenda kazi ili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimiza kusudi la Mungu, yaani kuwa ‘chombo kizuri cha ibada’.











    • Ishara au Viashiria

    • Wito wa mtu.

    • (Signals za Huduma na Karama)



    • Kuthibitisha Wito Wako

    • (Comfirmation)



    1   2   3   4   5   6   7   8   9




    Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
    ma'muriyatiga murojaat qiling