1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake 1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake (huduma/karama) 2. Wito wa mtu (Huduma na Karama yake) ni maalumu sana (Very Specific)
Zab 22:3 Zab 22:3 MUNGU ANAISHI KATIKA IBADA na SIFA.
Zaburi 22:3 Zaburi 22:3 Wewe U Mtakatifu, nawe “UNAKETI” juu ya sifa za Israel “Inhabit” “Unaishi”
Yohana 4:23 Yohana 4:23 Kwa maana Baba anawatafuta watu kama hao, ili wamwabudu; Na saa ipo na sasa saa imefika, ambapo waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli;
Mungu
Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu. Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.
Mungu
Kila Mtu katika jamii ya watu wa Mungu ana Karama na Kipawa fulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezesha kutenda kazi duniani ili kulitimiza kusudi la Mungu. Kila Mtu katika jamii ya watu wa Mungu ana Karama na Kipawa fulani kilichowekwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, kinavyochomwezesha kutenda kazi duniani ili kulitimiza kusudi la Mungu.
Kipawa hicho, ndicho kinachotenda kazi ili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimiza kusudi la Mungu, yaani kuwa ‘chombo kizuri cha ibada’. Kipawa hicho, ndicho kinachotenda kazi ili mtu aweze kuishi na kuyatawala mazingira yake, hata kumwezesha mtu huyo kulitimiza kusudi la Mungu, yaani kuwa ‘chombo kizuri cha ibada’.
Mungu
Kanisa la Mungu ni Ofisi ya Mungu na Ubalozi wa Mbinguni duniani. Hivyo Mungu anataka Kanisa lake (Ofisi yake) iwe na watendakazi walio bora zaidi na itoe huduma bora zaidi kuliko taasisi zingine za duniani.
Do'stlaringiz bilan baham:
|