ya moyoni (Peace n’ Joy) Isaya 55:12, Filipi 4:4-7, Kolosai 3:15
2. Kupenda na Kuridhika (Passion) Kut 33:12-14, Math 17:1-7 Zab 37:4, Zab 16:11,
3. Kut 33:7-11, Math 14:22-23, Mark 1:35, Yoh 8:1
4. Uwezo mkubwa wa Kazi hiyo (Ability) Kutoka 33:1-5, Matendo 6:7-10.
5. Matokeo Mazuri Yohana 5:31-36, Marko 16:15-20.
6. Baraka na Mafanikio Zaburi 1:1-3, Mithali 10:22 Mith 17:8, Mith 18:16
7. Ushuhuda mzuri wa Watu wengine Math 18:16, Yoh 6:11-14 Yoh 3:1-2, Mdo 6:1-8.
Amani na Furaha ya moyoni Amani na Furaha ya moyoni Kupenda na Kuridhika Uwezo mkubwa ktk hilo Matokeo Mazuri Baraka na Mafanikio Ushuhuda mzuri wa wengine
Mwombe Mungu (Omba) Mwombe Mungu (Omba) Fanya Maombi ya Muda mrefu Yeremia 29:11-13 Isaya 43:26 Wafilipi 4:6-7 Zaburi 32:8
Tumika katika Kazi ya Mungu bila mipaka. Tumika katika Kazi ya Mungu bila mipaka. Mhubiri 11:6
Sikiliza Sauti ya Mungu (Uongozi wa Mungu) na Uangalie Uwezo Binafsi ulionao (Neema). Sikiliza Sauti ya Mungu (Uongozi wa Mungu) na Uangalie Uwezo Binafsi ulionao (Neema). Chunguza Eneo unalotumika vizuri zaidi kuliko mengine. Matendo 6:8
Uwezo Binafsi (Neema). Uwezo Binafsi (Neema). Chunguza eneo unalotumika vizuri zaidi kuliko mengine (matokeo mazuri zaidi). Matendo 6:8 ‘Filipo akijaa Neema na Nguvu, alifanya maajabu na ishara kubwa kati ya watu’
4. Mwombe Mungu Tena akupe Uthibitisho. 4. Mwombe Mungu Tena akupe Uthibitisho. (Comfirmation) Fanya Maombi ya Muda mrefu Luka 4:1-14,18-19 Luka 6:12-19
5. Sikiliza ushauri (Uliza) 5. Sikiliza ushauri (Uliza) Sikiliza ushauri kutoka kwa watendakazi na walezi wako wa kiroho au kihuduma.
Mambo Muhimu Mambo Muhimu Ya Kuombea.
Vipimo vya Aina ya Wito wa mtu. (Specificacations)
1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake (huduma/karama) 2. Wito wa mtu (Huduma na Karama yake) ni maalumu sana (Very Specific)
Kusudi la Wito Kusudi la Wito Mpango wa Wito
Do'stlaringiz bilan baham:
|