Matendo 21-28 Matendo 21-28 31 Walipokuwa wakitaka kumwua, habari zikamfikia jemadari wa jeshi la askari wa Kirumi kwamba mji wa Yerusalemu wote ulikuwa katika machafuko.
Matendo 21-28 Matendo 21-28 32 Mara yule jemadari akachukua maafisa wengine wa jeshi pamoja na maaskari wakakimbilia kwenye ile ghasia …
Matendo 21-28
Matendo 21:30-32 Matendo 21:30-32 Ulinzi wa Mungu (Baraka za Mungu) hazikuwepo juu yake, kwasababu Mtume Paolo alitoka nje ya wito wake.
Matendo 21:30-32 Matendo 21:30-32 Wayahudi wakampiga Paulo kwa mawe, nusu ya kumuua, ndipo kwa rehema zake, Mungu, akaamua kumrudisha Paulo katika mwili wake, ila aende Rumi, kwa Wamataifa.
Matendo 21-28 Matendo 21-28 22:17 “Baada ya kurudi Yerusalemu, wakati nikiwa ninaomba hekaluni, nilipatwa na usingizi mzito
Matendo 21-28 Matendo 21-28 22:18 nikamwona Yesu akiniambia, ‘Harakisha utoke Yerusalemu upesi, maana hawataukubali ushuhuda wako kunihusu mimi.’ (kwasababu Wito wako si kwa Wayahudi)
Matendo 23-26 Matendo 23-26 Paulo anahudhuria mahakama; Liwali Felix – Kaisaria Gavana Festo – Kaisaria Mfalme Agripa - Kaisaria
Matendo 23-26 Matendo 23-26 Kesi za Paulo hazikupata suluhu; hatimaye wakaamua kesi yake ikasikilizwe Rumi (kwa Wamataifa) na sio Jerusalem (kwa Wayahudi).
Matendo 27-28 Matendo 27-28 Paulo anasafirishwa mpaka Rumi kwa pingu, chini ya ulinzi mkali wa binadamu na malaika, kwenda kutimiza wito wake! Na huko ndipo alipotimiza na kumalizia wito wake.
Wagalatia 2:8 Wagalatia 2:8 Aliyemwezesha Petro kuwa mhubiri wa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha mimi kuwa mhubiri wa Mataifa.
5. Kipimo cha muda 2Timotheo 4:5-8 “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”
5. Kipimo cha muda 5. Kipimo cha muda Wafilipi 3:13-14 “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”
5. Kipimo cha muda 5. Kipimo cha muda Yohana 16:12-13 “…bado nina mambo mengi sana ya kuwaambia, lakini kwa sasa, hamyawezi bado; wakati utafika, Roho atakuja na kuyaachilia kwenu…”
5. Kipimo cha muda 5. Kipimo cha muda Waebrania 5:11-15 “nashangaa kwamba bado mnahitaji maziwa badala ya makande, kwasababu wakati mwingi umepita, tangu mlipoamini…!
5. Kipimo cha muda 5. Kipimo cha muda Waebrania 5:11-15 “saa hii mlitakiwa kuwa waalimu wa watu wengine, lakini bado ni watoto, mnaotakiwa kulishwa maziwa wala sio makande…”
5. Muda wa Wito 5. Muda wa Wito Wagalatia 4:1-2 “japo mrithi ndiye Bwana wa yote, lakini awapo mtoto, mali zake hawezi pewa, bali zitabaki chini ya waangalizi, mpaka wakati sahihi utakapofika”
Do'stlaringiz bilan baham: |