Mmoja mmoja katika Kanisa ana wito wake


Download 537 b.
bet6/9
Sana26.11.2017
Hajmi537 b.
#20988
1   2   3   4   5   6   7   8   9

1 Wakorintho 12:14-27

  • 1 Wakorintho 12:14-27

  • 23 Navyo vile viungo vya mwili tunavyoviona havina heshima, ndivyo tunavipa heshima maalum. Vile viungo vya mwili ambavyo havina uzuri, tunavipa heshima ya pekee.



1 Wakorintho 12:14-27

  • 1 Wakorintho 12:14-27

  • 24 Wakati vile viungo vyenye uzuri havihitaji utunzaji wa pekee. Lakini Mungu ameviweka pamoja viungo vya mwili na akavipa heshima zaidi vile vilivyopungukiwa



1 Wakorintho 12:14-27

  • 1 Wakorintho 12:14-27

  • 25 ili pasiwe na mafarakano katika mwili, bali viungo vyote vihudumiane usawa kila kimoja na mwenzake.



1 Wakorintho 12:14-27

  • 1 Wakorintho 12:14-27

  • 26 Kama kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia pamoja nacho, kama kiungo kimoja kikipewa heshima, viungo vyote hufurahi pamoja nacho.



2. Mpango wa Wito

  • 2. Mpango wa Wito

  • Kila kiungo katika Mwili wa Yesu (Kanisa), kina uwezo binafsi ambao kimeumbiwa (kimejaliwa) na Mungu, kwa makusudi kamili ya kutenda kazi kwa kutimiza kusudi maalumu.



1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake

  • 1. Kila mtu (mmoja mmoja) katika Kanisa ana wito wake

  • (huduma/karama)

  • 2. Wito wa mtu (Huduma na Karama yake) ni maalumu sana (Very Specific)



1Timotheo 2:7

  • 1Timotheo 2:7

  • Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe Mhubiri na Mtume na Mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli.



Yermia 1:5-10

  • Yermia 1:5-10

  • Kabla hujaumbika kwenye tumbo la mamako, nilishakutenga uwe Nabii. Usiseme wewe ni mtoto, kwamaana nimeshakuandaa kuwa Nabii kwa Mataifa.





  • 3.

  • Uwezo na Nguvu

  • (Matokeo)



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Matendo 6:8

  • Yohana 20:21-22

  • Luka 24:49

  • Luka 4:1,14

  • Matendo 10:38



3. Uwezo na Nguvu



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Yohana 20:21-22

  • ‘Kama Baba alivyonituma mimi, nami nawatuma ninyi; pokeeni Roho Mtakatifu’

  • (Kwa kazi hiyo)



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Matendo 6:8

  • Yohana 20:21-22

  • Luka 24:49

  • Luka 4:1,14

  • Matendo 10:38



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Matendo 6:8-10

  • Wayahudi wakatoka kujadiliana na Stefano juu ya Yesu; naye Stefano akijaa neema na uwezo, akahojiana nao kwa nguvu na ishara za miujiza.



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Matendo 6:8-10

  • Nao hawakuweza kumshinda kwa yule Roho aliyekuwa akisema naye; kwakuwa stefano alijaa neema na uwezo mwingi



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Luka 24:49

  • ‘Tazama nawaletea ahadi ya Baba; Lakini msitoke mjini mpaka mtakapovikwa uweza utokao juu.’



3. Uwezo na Nguvu

  • 3. Uwezo na Nguvu

  • Luka 4:1,14

  • ‘Baada ya Yesu kujazwa na Roho Mtakatifu, aliingia katika maombi ya siku 40; naye akarudi katika nguvu za Roho’




Download 537 b.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©fayllar.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling