3. Uwezo na Nguvu 3. Uwezo na Nguvu Matendo 10:38 ‘Naye Mungu alimpaka Yesu Kristo mafuta, kwa Roho Mtakatifu na Nguvu, naye akawafungua wote walioonewa na ibilisi shetani ’
4. Eneo la Wito (Location + Group)
1Timotheo 2:7 1Timotheo 2:7 Nami kwa kusudi hili nimewekwa niwe Mhubiri na Mtume na Mwalimu wa watu wa Mataifa katika imani na kweli.
Wagalatia 2:8 Wagalatia 2:8 Aliyemwezesha Petro kuwa mhubiri wa Wayahudi, ndiye aliyeniwezesha mimi kuwa mhubiri wa Mataifa.
4. Eneo la Wito 4. Eneo la Wito Matendo 16:6-12 7 Walipofika kwenye mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.
4. Eneo la Wito 4. Eneo la Wito Matendo 16:6-12 8 Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa. 9 Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi akisema,
4. Eneo la Wito 4. Eneo la Wito Matendo 16:6-12 9 … “Vuka uje huku Makedonia ukatusaidie.” 10 Baada ya Paulo kuona maono haya, mara tulijiandaa kuondoka kwenda Makedonia…
4. Eneo la Wito 4. Eneo la Wito Matendo 16:6-12 10 … tukiwa tumesadiki kwa sababu tuliona kwa hakika kwamba Mungu ametuita kuhubiri habari njema huko.
4. Eneo la Wito
Matendo 21-28 Matendo 21-28 21:4 Baada ya kuwatafuta wanafunzi wa huko, tukakaa nao kwa siku saba. Wale wanafunzi wakiongozwa na Roho walimwambia Mtume Paulo asiende Yerusalemu.
Matendo 21-28
Matendo 21-28 Matendo 21-28 11 Alipotufikia akachukua mshipi wa Paulo akajifunga, akautumia kufunga mikono na miguu yake mwenyewe akasema, “Roho Mtakatifu anasema:
Matendo 21-28 Matendo 21-28 11 … ‘Hivi ndivyo Wayahudi wa Yerusalemu watakavyomfunga mwenye mshipi huu na kumkabidhi kwa watu Mataifa.’
Matendo 21-28 Matendo 21-28 12 Tuliposika maneno haya sisi na ndugu wengine tukamsihi Paulo asiende Yerusalemu.
Matendo 21-28 Matendo 21-28 13 Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.”
Matendo 21-28 Matendo 21-28 14 Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”
Matendo 21-28 Matendo 21-28 14 Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”
Matendo 21:17-26 Matendo 21:17-26 Askofu Yakobo alijaribu kumtengenezea Paulo mazingira ya kukubalika kwa Wayahudi, (kwa kufanya ibada kwa sheria za Torati ya Musa) lakini bado haikusaidia; walimkataa.
Matendo 21-28 Matendo 21-28 30 Mji wote ukataharuki, watu wakaja wakikimbia kutoka pande zote wakamkamata Paulo, wakamburuta kutoka mle hekaluni. Milango ya hekalu ikafungwa.
Do'stlaringiz bilan baham: |