5. Muda wa Wito 5. Muda wa Wito Wagalatia 4:1-2 Kuna baadhi ya vitu vyako, hautaviona vinakutokea, mpaka utakapokua na kufika kiwango fulani cha ukomavu (maturity)
6. (Measure/Length) (Standard/Quality)
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Katika Idadi (Quantity) Mathayo 25:14-30
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 14 “Tena, Ufalme wa Mbinguni ni kama mtu (Bwana) anayetaka kusafiri, akawaita watumishi wake na kuweka mali yake kwenye uangalizi wao (Uwakili) ili kuitunza na kuizalisha.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 15 Mmoja akampa talanta tano (5) mwingine talanta mbili (2) na mwingine talanta moja (1), kila mmoja alipewa kwa kadiri ya uwezo wake. Kisha yeye akasafiri kwenda mbali.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 19 “Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 20 Yule mtumishi aliyepokea talanta 5 akaja, akaleta nyingine 5 zaidi. Akasema, ‘Bwana uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 5. Tazama, nimepata faida talanta 5 zaidi.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 21 “Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu …!
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 21 “… Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache, nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!”
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 22 “Yule mwenye talanta 2, naye akaja. Akasema, `Bwana, uliweka kwenye uangalizi wangu talanta 2. Tazama nimepata hapa faida ya talanta mbili (2) zaidi.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 “Bwana wake akajibu, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu, na wewe nakulipa kama mwenzako wa kwanza kwa kutimiza kusudi la wito wenu kwa kipimo chake.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 24 “Kisha yule mtumishi aliyepokea talanta 1 akaja, akasema, ‘Bwana, nilijua kwamba wewe ni mtu mgumu, unayevuna mahali usipopanda na kukusanya mahali usipotawanya.
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 25 Kwa hiyo niliogopa, nikaenda, nikaificha talanta yako ardhini. Tazama, hii hapa ile iliyo mali yako.’
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 26 Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua yote hayo lakini hukufanya ulichotakiwa kufanya (wewe ni mpumbavu).
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 27 Basi, ilikupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake?
Mathayo 25:14-30 Mathayo 25:14-30 30 “Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Luka 12:48 “… aliyepewa vingi, kwake huyo vitatakwa vingi …”
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 1Wakorintho 3:13 “… Kazi ya kila mtu itapiwa, tena kwa moto wa Mungu …”
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Wafilipi 3:13-14 “…sijidhanii kwamba nimekwisha kufika, bali nakaza mwendo, ili niifikie mede ya thawabu…”
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 2Timotheo 4:5-8 “…wakati wa kufariki kwangu, umefika, nimevipiga vile vita vizuri vya imani, mwendo nimeumaliza, imani nimeilinda, sasa naingejea taji ya uzima...”
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 2Timotheo 4:5-8 Kwa Mtume Paulo kusema kwamba, “mwendo nimeumaliza,” ni hakika ya kwamba, alikuwa anajua kiasi cha umbali alichotakiwa kutimiza katika wito wake.
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Luka 12:48 12 Nilipokuwa pamoja nao, niliwalinda, wakawa salama kwa lile Jina ulilonipa. Hakuna hata mmoja aliyepotea, isipokuwa yule aliyekusudiwa, ili Maandiko yapate kutimia.
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Yohana 19:30 30 Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.’’ Akainamisha kichwa chake, akakata roho.
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Yohana 19:30 30 Bwana Yesu alikuwa na ujasiri wa kumwambia Mungu kwamba ‘Kazi uliyonituma “Imekwisha.’’ kwasababu alijua kwa hakika kipimo cha kazi alichopewa.
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Yohana 5:30 30 Mimi siwezi kufanya jambo lo lote peke Yangu … kwa kuwa sitafuti kufanya mapenzi Yangu mwenyewe, bali mapenzi Yake Yeye aliyenituma.’’
6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi 6. Kipimo (Kiasi) cha Kazi Katika Kiwango (Quality) 2Wakorintho 3:10-15
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 10 Kwa neema Mungu aliyonipa, niliweka msingi kama mjenzi stadi na mtu mwingine anajenga juu ya huo msingi. Lakini kila mtu inampasa awe mwangalifu jinsi anavyojenga juu yake.
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 12 Kama mtu ye yote akijenga juu ya msingi huu kwa kutumia dhahabu, au kwa fedha, au kwa mawe ya thamani, au kwa miti, au kwa majani au kwa nyasi …
1Wakorintho 3:10-15 1Wakorintho 3:10-15 13 kazi yake itaonekana kuwa ikoje, kwa kuwa siku ile itaidhihirisha kazi yake. Itadhihirishwa kwa moto, nao moto utapima ubora wa kazi ya kila mtu.
Kujaa Nguvu za Mungu Kujaa Nguvu za Mungu Kiwango, Kipimo, Ujazo
Kutoka 24:1-18 Kutoka 24:1-18 ^ 1st Class ^^^ 2nd Class ^^^^^^^^^^ 3rd Class
1 (Yoh 21:19-24) - 1 (Yoh 21:19-24)
- 3 (Math 17:1-9)
- 12 (Luka 6:12-15)
- 70 (Luka 10:1,17)
- 120 (Mdo 1:15)
- 500 (1Kor 15:3-8)
7. Ngazi (Level) ya Wito 7. Ngazi (Level) ya Wito Kutoka 24:1-18 Luka 6:12/10:1-2,17-20 Matendo 5:12-13 Matendo 15:1-22 Wagalatia 1:18-19/2:11-12
Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu. Huduma na Karama za Roho Mtakatifu ni uwezo na vipawa vya Mungu ndani ya watu wake, vinavyowawezesha kutenda kazi duniani kwa kulitimiza kusudi la Mungu.
Mungu
Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la Vitabu vingine, CD na DVD za Mafundisho vya Mwalimu Mgisa Mtebe, yanapatikana katika duka la Vitabu vya Kikristo la Azania Front Cathedral Luther House, Sokoine Drive Dar es Salaam.
Mwl. Mgisa Mtebe Mwl. Mgisa Mtebe (Christ Rabbon Ministry) P. O. Box 837, Dar es Salaam, Tanzania. +255 713 497 654 +255 783 497 654 mgisamtebe@yahoo.com
Do'stlaringiz bilan baham: |